Coral Sea 6800

Fomu Ya Uchunguzi

Sea Recovery inaunda kitengezaji maji kamili kwa majahazi makubwa kwa kuchanganya uzalishaji wa nguvu za kisekta na ubunifu wa kuhifadhi nafasi. Mifumo ya Coral Sea hayawekwi kwenye majahazi ya kibosi pekee, bali pia yanapatikana Mara kwa Mara kwenye rigi za mafuta na vyombo vya kibiashara duniani. 

Vipengele Muhimu
Uzalishaji wa kiasi kikubwa
Skrini mguso ya rangi ambayo ni rafiki kwa mtumiaji                                                                                                                Ubunifu wa alumini mwepesi
Wayo ndogo
Pampu aksoli ya mzunguko haihitaji badiliko la mafuta                                                                                                                 Filta Chombo ya kujiendesha ambayo si lazima

Shughuli za Kujiendesha – Nusu
Onyesho skrini la LCD ambalo ni rafiki wa mtumiaji linaonyesha miumbo ya kipicha ya hali zote za shughuli.              Inajibadilisha yenyewe kulingana na hali ya maji yanayoingia Inajizima kwa kujiendesha, kwa kupima wakati au idadi ya bidhaa

Vipimaji / Skrini
Mita ya Kipekee ya Kiwango cha Chumvi  inaonyesha ubora halisi wa maji bishaa, kifaa muhimu cha kusimamiamaji bidhaa.
Kipimaji saa kwa kuhifadhi rekodi sahihi za meli na kuratibu urekebisho wa kinga.
Vifaa Elektroniki vinatoa teknolojia ya kisasa kabisa na kuaminika kwa Upimaji Muda Flashi wa Kujiendesha wa Maji Safi wa kila Wiki na kwa kuwasha baada ya kila muda fulani mota za kiumeme zenye ubatilishaji wa kimkono.
Ubora wa maji bidhaa unaonyeshwa kwenye muundo wa grafu bari wenye LED 10 za ziada.
Mita za mtiririko mpya za kielektroniki za asili-ngumu kwa usimamizi wa kuona wa mtiririko wa maji bidhaa na maji lisha unaotumika kupigia hesabu upesi wa mfumo

Pampu
Pampu Ongezo ya kipekee yenye ufanisi wa kiwango cha juu
Pampu ya Msukumo Mkubwa ya Mzunguko ya Kawaida ambayo iliyopakaliwa kwa maji na haihitaji mabadiliko ya mafuta.
Si lazima: Pampu Planja ya Msukumo Mkubwa

Viongezo
Kihimili Bahari kinachoonekana kwa urahisi chenye filta ya Skrini Meshi inayosafishika ya Monel yenye uzuiaji murwa zaidi wa wa kukorodi na uondoaji chembe kubwa (Si lazima).
Filta-kabla ya kibiashara, Kigawanyo Mafuta na Maji, Kimaliza pH, na Flashi ya Maji Safi ya Kujiendesha zinapatikana kama chaguo. 

Vifaa
Saketi Dhibiti za Kipekee za Volteji Ndogo, taminali zilizokingwa, na vijenzi vya volteji kubwa vilivyofinikwa kwa usalama wa mtumiaji-mwisho.
Rilei Kifungo ya Kismaku ya shughuli nzito iliyojitolea kwa kila mota iliyoingizwa kwenye mfumo.
Elementi membreni mpya ya mkatazo wa juu/ mavuno ya juu inayotoa maji bidhaa.
Mota za Shughuli Kemikali
Chombo Membreni kilichoongezwa Uimara cha Msukumo wa kiwango cha juu cha Kioo-ufumwele kinaondoa kukorodi, kina nguvu zaidi, na kinadumu zaidi.
Transidusa Msukumo 316 za Chuma bila doa kwa upimaji sahihi wa shughuli za mfumo.

Usalama
Valvu ya Kubadili Maji Bidhaa isiyoweza kufeli.
Saketi Dhibiti ya Volteji Ndogo ya Kipekee, taminali zilizokingwa, na vijenzi vya volteji-nyingi vilivyofinikwa kwa usalama wa mtumiaji wa mwisho.

Huduma na Urekebisho
Mwongozo mpanapamoja na maonyesho ya sehemu yaliyopanuliwa na michoro ya kuunganisha kwa uwekaji, operesheni, urekebishaji na miongozo mengine muhimu
Mtandao wa Kimataifa wa Huduma na Mauzo kwa umakini wa hapohapo haijalishi eneo
Huduma ya kiufundi iliyojitolea kwa utenda kazi bora zaidi wa mfumo

Specifications :

  • Uzalishaji : 1,699 gal / 1,073 lit per hour, 6,800 gal / 25.73 m³ per day
  • Uzito : 1,050 lbs / 477 Kg