Aqua Matic 1800-2

Fomu Ya Uchunguzi

Aqua Matic bunifu imeundwa kuwa rahisi zaidi kutumiwa na ya kuaminika zaidi kuliko vitengezaji maji vya kawaida. Ikiwa na teknolojia ya hivi sasa, Aqua Matic inaweza kusimamia na kudhibiti shughuli bila haja ya opereta.

NMEA 2000 Ulinganisho Kiumbali
Aqua Matic mpya inatii NMEA 2000, ikikupatia uwezo wa kusimamia na kuwasiliana na mfumo wako kupitia skrini yoyote inayolingana na NMEA.*
Operesheni ya mguso mmoja na skrini mguso ya rangi kamili.
Imehamiwa na mfumo dhibiti wa msukumo wa kujiendesha Utoaji Maji Safi, Aqua Matic inaweza kuendeshwa kikamili na kutenda shughuli za kujirekebisha yenyewe bila haja ya opereta. “Cheki na mtengezaji skrini wako kwa ulingano.

Shughuli za Kujiendesha
Kujiendesha kwa mguso-mmoja unaondoa kabisa haja ya umakini wa opereta.
Mfumo dhibiti wa msukumo wa kujiendesha – inaruhusu kitengezaji maji kusawazisha viwango vya msukumo kwa kujiendesha yenye asili ya hali yoyote ya maji.
Upimaji muda wa utoaji maji safi wa kujiendesha wa kila wiki na kuanzisha baada ya kila muda fulani kwa mota za kiumeme kupitia ubatilishaji kimkono.                                                                                                                                                        Uzimaji wa kujiendesha, wa kipindi cha wakati au ubora wa bidhaa.

Vipimaji / Skrini
Kipimaji saa kwa kuhifadhi rekodi sahihi za meli na kuratibu urekebisho wa kinga.
Mita za mtiririko mpya za kielektroniki za asili-ngumu kwa usimamizi wa kuona wa mtiririko wa maji bidhaa na maji lisha unaotumika kupigia hesabu upesi wa mfumo.
Mita ya kiwango cha chumvi ya grafu za dijitali na bari inaonyesha ubora wa maji bidhaa halisi, chombo cha lazima kwa usimamizi wa maji bidhaa.

Pampu
Pampu ya kiongezi ya ufanisi wa kiwango cha juu ya kipekee kwa maisha marefu ya kabla-filta.                                       Inatumia pampu planja ya msukumo wa kiwango cha juu ambayo ina ratiba ya matengenezo ya kawaida ya kila masaa 2,000.
Inapatikana kama chaguo: Pampu Planja Aksoli ya Mzunguko ya kiwango cha Juu cha Msukumo chenye kibali cha Quintiplex iliyopakaliwa na maji, haihitaji mabadiliko ya mafuta na inatenda kazi kwa masaa ya 8,000 baina ya matengenezo yanayohitajika.
Pampu ya kisasa zaidi yenye kiwango cha msukumo cha juu imetengezwa kwa kiini cha Duplex ambacho kinazuia kukorodi na kumomonyoka kwa kiwango cha juu ambacho kinatoa kinga zaidi kuliko chuma 316 isiyo na doa.
Pampu kimya yenye msukumo wa juu inatenda kazi kwa uzuri na haina mipigo.

Viongezo
Pedi mguso ya udhibiti rimoti ya rangi kamili inapatikana. 
Kiwashaji Mota Laini kisicho Lazima kinapatikana kwa mifumo ya kuendeshwa na AC ya fezi moja, amabayo inapunguza nguvu za kuwasha kwa 60%.
Kihimili Bahari kinachoonekana kwa urahisi chenye filta ya Skrini Meshi inayosafishika ya Monel yenye uzuiaji murwa zaidi wa wa kukorodi na uondoaji chembe kubwa.
Muungano Filta wa Makaa, Filta-kabla ya Kibiashara, Kigawanyo Mafuta na Maji, Kimaliza pH, na Flashi ya Maji Safi ya Kujiendesha yanajumuishwa yanapoitishwa wakati wa agizo.
NMEA 2000 Ulinganisho
Onyesho la kutii NMEA 2000 lisilo lazima
Tazama na simamia vidhibiti mfumo kupitia skrini yoyote inayotii NMEA*. Pia unaweza kuwasha na kuzima mfumo wako kutoka skrini yako iliyo mbali.
Skrini NMEA ya kidhibiti rimoti isiyo lazima

Onyesho Skrini-mguso la Rangi Kamili
Onyesho kompyuta ambalo liko tayari
Skrini mguso ambayo ni rahisi kutumia inaonyesha maumbo ya kipicha ya hali zote za operesheni.
Kisomaji cha grafu dijitali na bari cha hali mfumo zote kwa Kiwango Marekani au Metriki.
Uwezo wa kuonyesha kwa lugha anuwai

Vifaa
Rilei Kifungo ya Kismaku ya shughuli nzito iliyojitolea kwa kila mota iliyoingizwa kwenye mfumo.
Transidusa Msukumo 316 za Chuma bila doa kwa upimaji sahihi wa shughuli za mfumo.
Elementi membreni mpya ya mkatazo wa juu/ mavuno ya juu inayotoa maji bidhaa yenye ubora wa juu zaidi na inaondoa kukorodi.

Usalama
Valvu ya Kubadili Maji Bidhaa isiyoweza kufeli.
Saketi Dhibiti ya Volteji Ndogo ya Kipekee, taminali zilizokingwa, na vijenzi vya volteji-nyingi vilivyofinikwa kwa usalama wa mtumiaji wa mwisho.

Huduma Na Urekebishaji
Aqua Matic inaletwa kwa meli kutoka kiwanda ikiwa tayari kuweka na kufanya kazi.
Hakuna bidhaa huru zinazohitajika, na mwongozo wa uwekaji kamili pia umeingizwa pamoja na Mwongozo wa Mmiliki wa Operesheni & Urekebisho ulio wa kindani na wenye maelezo.                                                                                                Mtandao wa Huduma na Mauzo wa Kimataifa kwa umakini wa hapohapo haijalishi pahali ulipo.
Huduma ya kifundi iliyojitolea kupata utendaji kazi wa mfumo ulio bora zaidi.

Specifications :

  • Uzalishaji : 75 gal / 284 lit per hour, 1800 gal / 6,814 lit per day
  • Uzito : 176 lbs / 80 Kg