VICHIMBAJI

SiteID: 9
Category: C
lnggcode: sw
id:11

KICHIMBAJI KOBELCO SK75SR-3

Mtindo-ECO mpya kwenye SK75SR unaleta akiba ya kiwango cha juu zaidi cha fueli kugeuza modeli SR kuwa mashini za kipato-kikubwa za kipekee.

Specifications :

 • Injini: 56 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 6,940 kg
 • Nafasi ndoo: 0.28㎥ bucket
 • Mkusanyiko: Mini
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 x axial piston, two-speed motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK210HDLC

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tuliunda SK210HDLC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kabisa kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Specifications :

 • Injini: 158 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 21,400KG
 • Nafasi ndoo: 0.8 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Medium
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK250

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tulitengeza sirisi ya SK, aina mpya ya kichimbaji ambayo inasawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo. Iliyokonda na yenye ufanisi pamoja na nafasi pia, vyombo hivi vya nguvu vyenye kun’gara vinaleta mtindo mpya kabisa kwenye eneo la kazi huku vikiweka viwango vipya vya kuwajibika kimazingira.

Specifications :

 • Injini: 184 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 24,600KG
 • Nafasi ndoo: 0.81 – 1.4 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Medium
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK260LC

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tulitengeza sirisi ya SK, aina mpya ya kichimbaji ambayo inasawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Specifications :

 • Injini: 184 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 25,200KG
 • Nafasi ndoo: 0.81 – 1.4 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Long Reach
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK330

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tulitengeza sirisi ya SK, aina mpya ya kichimbaji ambayo inasawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Specifications :

 • Injini: 280 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 33,700KG
 • Nafasi ndoo: 1.2 – 2.3 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Medium
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK380HDLC

Tukitumia teknolojia zetu za hali ya juu, tuliunda SK380HDLC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kabisa kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Specifications :

 • Injini: 280 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 35,800KG
 • Nafasi ndoo: 1.4 - 2.3 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Medium
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK500HDLC

Sirisi mpya ya ACERA GEOSPEC ya KOBELCO, kichimbaji cha aina mpya kinachosawazisha kwa uzuri mahitaji yote ya sekta ya ujenzi ya leo.

Specifications :

 • Injini: 344 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 51,900 kg
 • Nafasi ndoo: 2.1 - 3.4 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Large
 • Mfumo Haydroliki:
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston motor, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK850LC

SK850LC kinakidhi masharti yote magumu ambayo lazima yafikiwe na kichimbaji kikubwa kinachofanya shughuli zinazotaka uangalifu na zenye kuendelea. Kwa hivyo karibu kwa mwanzo wa kiwango kipya cha utendaji kazi: ACERA GEOSPEC SK850LC ya tani 80.

Specifications :

 • Injini: 496 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 78,200 kg – 80,500 kg
 • Nafasi ndoo: 2.8 – 5.4 m3 ISO heaped
 • Mkusanyiko: Large
 • Mfumo Haydroliki:
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK55SRX

Sasa KOBELCO imechukua hatua inayofuata ya kimaendeleo kwa kuweka nguvu ya kuchimba zaidi na vipengele vya utenda kazi wa kimkono kwenye SK55SRX huku ikibakia na unin’ginio mkia ulio mfupi.

Specifications :

 • Injini: 37.4 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 5,130 kg
 • Nafasi ndoo: 0.21 cu.yd 0.16 m3
 • Mkusanyiko: Mini
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors

KICHIMBAJI KOBELCO SK210LC

Teknolojia yetu ya kiwango cha juu zaidi inatii viwango vya utaratibu, ambayo inapatia vichimbaji vyetu utenda kazi bora zaidi wa kimazingira na ufanisi wa fueli, pia inapatia utenda kazi wa shughuli usiofikika.

Specifications :

 • Injini: 157 hp
 • Uzito wa Utenda Kazi: 22,000KG
 • Nafasi ndoo: 0.92 - 1.22 cu.yd. SAE
 • Mkusanyiko: Long Reach
 • Mfumo Haydroliki: Two variable displacement pumps + 1 gear pump
 • Mfumo Usafiri: 2 X axial-piston, two-step motors