MATATU NDOGO YA ULETAJI

Fomu Ya Uchunguzi

Teknolojia nzuri zaidi: Ni mchanganyiko wa teknolojia za basi nyepesi za Golden Dragon za miaka 20 kwa kila hali
- Kupaka kielektroforeti: Mchakato wa kupaka kielektroforeti kunatumiwa kwa gari zima. Kizazi cha sita cha rangi ya kupinga-kukwaruzwa iliyo nzuri kimazingira ya bila-ledi ya PPG kutoka Marekani inatumiwa kuongeza uzuri wa jumla na kudumu kwa mwili na kuibakisha kun’gara kwa zaidi ya miaka 10.
Imara na Salama: Kuwekwa pleti za chuma maalum zenye unene-ziada za 1.2mm zenye ubunifu mwili wa kujisimamia zinafanya gari zima liwe imara, salama na la kimtindo kwa kuonekana.
Mwili uliorefushwa:  Inachukua uongozi kuurefusha mwili hili kuzidisha nafasi. Upangaji viti wa kubadilishika inaifanya ifae kwa kutumiwa kwa abiria au mzigo.
Uchumi wa fueli: Ni chaguo lako kutumia injini za gasolini au dizeli za modeli tofauti kuhakikisha nguvu ya kutosha na uchumi wa fueli kwenye hali tofauti.
- Utendaji kazi wa kuaminika: Imepimwa kwa usimamizi mkali kuhakikisha operesheni za kuaminika. Mifumo imeboreshwa kulingana na data vipimo za benchi na barabara kuhakikisha operesheni ya kuaminika hata kwenye mazingira mabaya ya utendaji kazi
- Mwili uliopanuliwa wenye nafasi ya ziada.
- Inapatikana kwa Injini petroli/Dizeli
- Upangaji viti Unaobadilishika  - Viti 2 hadi 5

Specifications :

  • Modeli : XML6532 - Cargo Delivery Van
  • Vipimo (LxWxH)mm : 4980 × 1700 × 1980
  • Msingi wa Gurudumu : 2590mm
  • Viti : 2 - 5
  • Kiyoyozi hewa : Both Front & Rear
  • Sauti : FM/AM Radio with Mp3 Player
  • Injini : 4JB1 Petrol Engine ISUZU Technology
  • Nguvu Kubwa Zaidi : 57KW