KOMPAKTA TAKA

SiteID: 9
Category: C
lnggcode: sw
id:12

KOMPAKTA KIPIMO KIDOGO MAZZOCCHIA - MINISTAR

Lori Tipa la Wembe mmoja la Ministar: Kikusanyaji cha kubeta cha kihaydroliki kimeundwa na chuma kilichochomelewa na kimefungwa kabisa; imehamiwa na wembe-mmoja, ambao unawezeshwa na silinda haydroliki 4 za kutenda mara mbili, ni murwa kwa kukusanya karatasi, kadibodi, plastiki na mbolea.

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 3,5-8 mc
 • Fremu: Two axles, light
 • MTT: From 2,2 to 8 Ton

KOMPAKTA ZA KIPIMO KIDOGO CHA MAZZOCCHIA - JOLLY1

Kompakta Jolly1 kutoka 5 hadi 7 m3 - Kompakta-ndogo monokoki pamoja na wembe wa utoaji. Kompakta-ndogo monokoki ya ubebaji-nyuma ni murwa kwa kukusanya mbolea, karatasi, kadibodi na murwa zaidi kwa ukusanyaji wa “mlango kwa mlango” na Kuunganika na kuwa gari satalaiti.

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 5-8 mc
 • Fremu: Two axles, light
 • MTT: From 4,5 to 8 Ton

KOMPAKTA ZA KIPIMO WASTANI ZA MAZZOCCHIA - MINIMACB

Kompakta MINIMACB kutoka 8 haddi 12 m3. MINIMACB ni kompakta-ndogo monokoki ya wembe-mmoja inayotoa suluhisho anuwai za kiufundi na kikazi: ni kichwa-kubwa cha msukumo-kinyume kinachosaidia utendaji kazi wa mfumo kompakti wa MAZZOCCHIA.

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 8-14 mc
 • Fremu: Two axles, medium line
 • MTT: From 9 to 14 Ton

KOMPAKTA KIPIMO KIKUBWA MAZZOCCHIA - MAC1

Kompakta ya ubebaji-nyuma na wembe-mmoja - Mac1 ni kompakta ya ubebaji nyuma iliyotengezwa haswa kwa mlolongo wa fremu za “Kazi Ngumu”, toleo za 6×4 na 8×4. Ina kontena ya taka iliyofungwa na hopper ya jumla yenye bawaba-nyuma

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 26-36 mc
 • Fremu: Heavy Duty
 • MTT: 33-40 Ton

KOMPAKTA ZA KIASI KIKUBWA ZA MAZZOCCHIA - MAC2NB

Kompakta ya ubebaji-nyuma ya wembe mmoja – Mac 2NB ni kompakta ya ubebaji-nyuma iliyohamiwa na kontena ya taka iliyofungwa na mdomo wa kubeba wa bawaba ya nyuma

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 20-25 mc
 • Fremu: 3 axles, medium-heavy line
 • MTT: 26 Ton

KOMPAKTA YA UBAVUMAZZOCCHIA - LAT2

Kompakta ya Wembe-mmoja, Ubebaji-mmoja na Kuendeshwa-kumoja- Mfumo wa kukompakti wa wembe-mmoja unahakikisha uwezo mkubwa wa kubeba na haswa kwa kukompakti. Mbali na taka za mjini, ni nzuri kwa kukusanya: karatasi, kioo, plastiki na majani

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 15-18 mc
 • Fremu: 2 axles, medium-heavy line
 • MTT: 18 Ton

KOMPAKTA YA UBAVU YA MAZZOCCHIA - LAT3

Kompakta ya Wembe-mmoja, Ubebaji-mmoja na Kuendeshwa-kumoja- Ina kompakta ya ubebaji-mmoja na Kuendeshwa kumoja pamoja na kontena iliyofungwa, hopa ya ubebaji-nyuma na kibebaji-pipa cha ubavu

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 21-29 mc
 • Fremu: 3 axles, medium-heavy
 • MTT: 26 Ton

KISAFISHAJI PIPA CHA UBAVU CHA MAZZOCCHIA - AQUATEC

Kisafishaji kontena-ubavu - kontena-ubavu ya kuendeshwa kumoja cha kuosha sehemu za ndani na nje za kontena zilizotulia kutoka lita 1800 hadi 3200

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 6.000 litres
 • Fremu: Two axle, medium line
 • MTT: 15-16 Ton

KISAFISHAJI PIPA CHA UBAVU CHA MAZZOCCHIA - IDROPLUS

Kisafishaji cha kontena-nyuma - Kisafishaji cha kontana-nyuma cha kusafisha sehemu za ndani na nje za kontena inayosongea. Debe la chuma kisicho na doa la lita 6,000 la maji safi. Debe la lita 5000 la maji machafu.

Specifications :

 • Kiasi cha mwili: 6.000 litres
 • Fremu: With driver’s cab for medium line
 • MTT: 15-16 Ton